MBUNGE wa Jimbo la Gando Wilaya ya Wete Mkoa wa
Kaskazini Pemba, Mhe:Khalifa Suleiman akimkabidhi boti aina ya Faiba, mmoja wa
wananchi wa Fundo, ambae jina lake halikupatikana, boti hiyo iliyotolewa na
viongozi wa jimbo hilo, kulia ni mwakilishi wa jimbo hilo, Mhe;Saidi Ali
Mbarouk, hafla hiyo iliyofanyika huko Fundo.(Picha
na Abdi Suleiman, PEMBA.)
VIONGOZI wa jimbo la gando, wakiwa katika faiba
waliyowakabidhi wananchi wa kisiwa cha Fundi, wakiitumia kuvuka kutoka Fundo
kwenda Wete.(Picha na Abdi Suleiman,
PEMBA.)
WANANCHI wa kisiwani Fundo jimbo la Gando wilaya ya
Wete, wakiisukuma faiba yao waliyokabidhiwa na viongozi wa jimbo hilo, mara baada
ya kukabidhiwa rasmi, ambayo itawasaidia katika kuwavusha wananchi kwenda mjini
Wete kutafuta mahitaji.(Picha na Abdi
Suleiman, PEMBA.)
No comments:
Post a Comment