MKULIMA wa zao
la karafuu wa kijiji cha Chambani wilaya ya Mkoani Pemba, Khamis Mohamed Khamis,
akianika karafuu zake kwenye majamvi, kama ilivyoshauriwa na shirika la
biashara la taifa la ZSTC Zanzibar ambapo kufanya hivyo kunazisababisha karafuu
kubaki na ubora wake
WANAFUNZI wa
skuli ya sekonsari ya Chambani wilaya ya Mkoani Pemba, wakiwa madarasani wakifanya
mitihani ya taifa ya majaribio, ikiwa ni hatua ya kujitayarisha na mitihani ya
taifa inayotarajiwa kufanyika mwezi ujao nchini kote
POLISI (kushoto) ambae hakufahamika
jina lake, mwenye shati la vyumba akitoa msaada, baada ya kutokezea ajali kwa
garia aina ya ‘carry’ kumgonga mpanda vespa alikuekuwa na chombo hicho chenye namba
za usajili Z 836 BN eneo la Madungu mjini Chakechake Pemba (picha
na Haji Nassor, Pemba)




No comments:
Post a Comment