Habari za Punde

Ajali ya Gari Kitope








 
Ajali imetokea nyakati hizi kwa wafuasi na wanachama wanaokwenda katika mkutano wa CUF Nungwi. Ajali hiyo imetokea katika daraja la Kitope. Dereva wa gari hiyo ameumia sana miguuni na abiria wengine wamepata majeraha madogo madogo. Allah awavue hili na jengine. Amin
 
Picha kwa hisani ya Salma Said via Facebook

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.