THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
TANZANIA COMMUNICATIONS REGULATORY AUTHORITY
ISO 9001:2008CERTIFIED
|
MAMLAKA
YA MAWASILIANO TANZANIA INAPENDA KUWATANGAZIA WAMILIKI WOTE WA MITANDAO YA
KIJAMII “BLOGERS” KUWA KUTAKUWA NA MKUTANO TAREHE 11.11.2014 KUANZIA SAA TATU
ASUBUHI UKUMBI WA MLIMANI CITY JIJINI DAR ES SALAAM.
MKUTANO
HUO UTAJADILI MATUMIZI YA BLOGS KIPINDI CHA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA
WABUNGE NA RAISKAMA ILIVYO AINISWA KWENYE RASIMU YA MWONGOZO WA MAUDHUI KWA
AJILI YA KAMPENI ZA UCHAGUZI MWAKA 2015.
TAFADHALI
MNAOMBWA KUFIKA BILA KUKOSA.
Imetolewana
MkurugenziMkuu
MamlakayaMawasiliano
Tanzania
S.L.P.
474
DAR
ES SALAAM
No comments:
Post a Comment