Habari za Punde

LEO NDIO SHEREHE ZA KUZALIWA KWACCM

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akitafakari jambo huku akijadiliana na Mbunge wa Jimbo la Songea mjini Mh.Emmanuel Nchimbi.
 Vijana wa Chipukizi wakionyesha ukakamavu wao wakati wa mazoezi kwa ajili ya maandalizi ya sherehe za kuzaliwa kwa CCM.
 Kepteni John Komba akizungumza na Vijana wa Matarumbeta wakati wa mazoezi ya sherehe za miaka 38.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari wakati wa maandalizi ya uwanja wa sherehe ,mjini Songea.

Waziri Mkuu Mheshimiwa Mizengo Pinda akiwasalimia wananchi mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege.
             Jukwaa litakalotumika likiwa tayari limefungwa kwenye uwanja wa maji maji.
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na wanafunzi wa vyuo vikuuu kutoka Songea mjini.

4 comments:

  1. Sasa huyo Karume imehusu nini kumuweka hapo anaijuaje au kachangia nini kwenye CCM

    ReplyDelete
  2. hapo ilikuwa mumuweke mzee jumbe si ndie aloridhia upuuzi huu wakati wa utawala wake sio Karume wala Kikwete na vipi mbona dk Shen hayupo hapo kwenywe picha?

    ReplyDelete
  3. hii inaonesha wazi kuwa ccm sio ya wa Zanzibari mana hata raisi wetu hamjamuweka hapo wenu yupo vipi hapo??????

    ReplyDelete
  4. Father K hapo muondoeni halijamuhusu hilo la CCM

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.