Wananchi wa Mkoa wa Arusha wakimsikiliza Katibu Mkuu wakati akiwahutubia katika mkutanio wa hadhara akiwa katika ziara yake kutembelea Mikoa ya Tanzania Bara.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinbuzi Ndg Abdurahaman Kinana akiwahutubia Wananchi wa Mkoa wa Arisha akiwa katika ziara yake kuimarisha Chama na kuangalia Utekelezaji wa miradi na Ilani ya Uchaguzi.
No comments:
Post a Comment