Maandamano ya Wanamichezo wa timu mbili za Wakaguzin na Wadhibiti wa hesabu za Serekali wa Zanzibar na Tanzania wakipita kwa maandamano wakati wa ufunguzi wa michezo yao iliofanyika uwanja wa amaan Zanzibar timu ya CAG Tanzania imeshinda mchezo wa mpira kwa mabao 7--0.
Maandamano ya Wanamichezo wa timu mbili za Wakaguzin na Wadhibiti wa hesabu za Serekali wa Zanzibar na Tanzania wakipita kwa maandamano wakati wa ufunguzi wa michezo yao iliofanyika uwanja wa amaan Zanzibar timu ya CAG Tanzania imeshinda mchezo wa mpira kwa mabao 7--0.Maandamano ya Wanamichezo wa timu mbili za Wakaguzin na Wadhibiti wa hesabu za Serekali wa Zanzibar na Tanzania wakipita kwa maandamano wakati wa ufunguzi wa michezo yao iliofanyika uwanja wa amaan Zanzibar timu ya CAG Tanzania imeshinda mchezo wa mpira kwa mabao 7--0.
Wafanyakazi wa Afisi ya CAG Zanzibar wakifuatilia michezo hiyo wakiwa jukwaani amaan
Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serekali Tanzania Profesa Mussa Juma Asad akiwa na Maofisa wa CAG wakati akiendea kuzindua rasmin michezo hiyo iliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar
Maofisa wa CAG Zanzibar na Tanzania wakiwaenda uwanjani kwa ajili ya uzinduzi wa michezo hiyo
No comments:
Post a Comment