Habari za Punde

Ligi Kuu ya Zanzibar kati ya Malindi na Mafunzo mchezo uliofanyika uwanja wa amaan Mafunzo imeshinda 2--1

 







Wachezaji wa timu ya Malindi wakishangilia bao lao la kusawazisha lililofungwa katika dakika ya 45 ya mchezo huo kipindi cha kwanza, hadi mwisho ya mchezo huo timu ya Mafunzo imeshinda 2--1





Wachezaji wa timu ya Mafunzo wakishangilia bao lao la Pili na la ushindi dhidi ya timu ya Malindi katika mchezo wa ligi kuu ya Zanzibar iliofanyika uwanja wa Amaan, timu ya Mafunzo imeshinda 2--1

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.