Habari za Punde

Prof Mbarawa akabidhi mabati kwa waathrika Kisiwapanza

 MKUU wa Wilaya ya Mkoani Mhe:Hemed Suleiman Abdalla, akishuhudia wananchi wa Kisiwa Panza wakizipanga bati baada ya kushushwa kwa ajili ya waathirika wa maafa kisiwani huko.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA)
 VIONGOZI wa serikali ya Mkoa wa kusini Pemba, wakishuhudia gari ya aina isuzu ikiteremsha bati zilizotolewa na Waziri wa Mwasiliani wa Tanzania Bara kwa wananchi wa Kisiwa Panza waliopatwa na maafa ya nyumba zao hivi karibuni.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA)
 WAZIRI wa mawasiliano Sayansi na Tenkolojia wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mhe:Prifesa Makame Mnyaa Mbarawa, akizungumza na mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe:Mwanajuma Majid Abdalla wakati wakielekea kisiwa Panza kuwafariji wananchi.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA)
 MKUU wa Wilaya ya Mkoani Mhe:Hemed Suleiman Abdalla akimpatia maelekezo Waziri wa mawasiliano Sayansi na Tenkolojia wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mhe:Prifesa Makame Mnyaa Mbarawa, juu ya madras ya Qurania iliyoanguka ukuta wake kutokana na upepo uliovuma kisiwa Panza na kusababisha maafa kwa wananchi.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA)
 WAZIRI wa mawasiliano Sayansi na Tenkolojia wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mhe:Prifesa Makame Mnyaa Mbarawa, akizungumza na wananchi wa kisiwa Panza waliopatwa na maafa baada ya nyumba zao kuezuliwa mapaa na upepo hivi karibuni.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA)
WAZIRI wa mawasiliano Sayansi na Tenkolojia wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mhe:Profesa Makame Mnyaa Mbarawa, akiwakabidhi mabati wananchi wa kisiwa Panza waliopatwa na maafa baada ya nyumba zao kuezuliwa mapaa na upepomkali hivi karibuni.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA)

2 comments:

  1. Pichq ya pili ni waziri wa mawasiliano wa tanzania bara,zinazofuatia ni waziri wa mawasiliano wa jamhuri ya muungano wa tanzania.tukamate wapi?

    ReplyDelete
  2. Amini kile utakacho kifaha hii kazi ya ua ndishi inafanywa na binaada kama kuna makosa kidogo kuwa mstahamilivu

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.