VIONGOZI wa serikali ya Mkoa wa kusini Pemba,
wakishuhudia gari ya aina isuzu ikiteremsha bati zilizotolewa na Waziri wa
Mwasiliani wa Tanzania Bara kwa wananchi wa Kisiwa Panza waliopatwa na maafa ya
nyumba zao hivi karibuni.(Picha na Abdi
Suleiman, PEMBA)
WAZIRI wa mawasiliano Sayansi na Tenkolojia wa
Serikali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mhe:Prifesa Makame Mnyaa Mbarawa,
akizungumza na mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe:Mwanajuma Majid Abdalla wakati
wakielekea kisiwa Panza kuwafariji wananchi.(Picha
na Abdi Suleiman, PEMBA)
MKUU wa Wilaya ya Mkoani Mhe:Hemed Suleiman Abdalla
akimpatia maelekezo Waziri wa mawasiliano Sayansi na Tenkolojia wa Serikali ya
Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mhe:Prifesa Makame Mnyaa Mbarawa, juu ya madras
ya Qurania iliyoanguka ukuta wake kutokana na upepo uliovuma kisiwa Panza na
kusababisha maafa kwa wananchi.(Picha na
Abdi Suleiman, PEMBA)
WAZIRI wa mawasiliano Sayansi na Tenkolojia wa
Serikali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mhe:Prifesa Makame Mnyaa Mbarawa,
akizungumza na wananchi wa kisiwa Panza waliopatwa na maafa baada ya nyumba zao
kuezuliwa mapaa na upepo hivi karibuni.(Picha
na Abdi Suleiman, PEMBA)
WAZIRI wa mawasiliano Sayansi na Tenkolojia wa
Serikali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mhe:Profesa Makame Mnyaa Mbarawa,
akiwakabidhi mabati wananchi wa kisiwa Panza waliopatwa na maafa baada ya
nyumba zao kuezuliwa mapaa na upepomkali hivi karibuni.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA)
Pichq ya pili ni waziri wa mawasiliano wa tanzania bara,zinazofuatia ni waziri wa mawasiliano wa jamhuri ya muungano wa tanzania.tukamate wapi?
ReplyDeleteAmini kile utakacho kifaha hii kazi ya ua ndishi inafanywa na binaada kama kuna makosa kidogo kuwa mstahamilivu
ReplyDelete