Kikosi cha timu ya JKU kinachoshiriki michuano ya Kanda ya Unguja Zanlink Basket Ball yanayofanyika katika viwanja vya maisara na kukubali kipigo cha Vikapu 66 -38
Mchezaji wea Kimataifa wa Mchezo wa Kikapu Zanzibar Dula Zungu akiwa na mpira wakati wa mchezo wao huo.
Mchezaji wa timu ya Stone Town akimpita mchezaji wa timu ya JKU katika mchezo huo wa kuwania Ubingwa wa Zanlink Basket Ball Kanda ya Unguja inayofanyika katika viwanja vya maisara Zanzibar
Wapenzi wa mchezo wa Mpira wa Kikapu Zanzibar wakifuatilia mchezo huo kati ya Stone Town na JKU, uliofanyika uwanja wa maisara timu ya Stone Town imeshinda kwa vikapu 66-38
No comments:
Post a Comment