Habari za Punde

Rais Kikwete ampongeza Mzee Mwinyi kwa kutimiza miaka 90


Rais Mstaafu awamu ya Pili Alhaji Hassan Mwinyi akitoa salamu zake kwa wageni waalikwa wakati wa sherehe yake ya kuzaliwa ambapo jana alitimiza umri wa miaka 90.Sherehe hiyo ilifanyika katika hoteli ya Sea Cliff na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Rais Mstaafu awamu ya pili Alhaji Ali Hassan Mwinyi kwa kutimiza miaka 90 wakati wa sherehe ya kuzaliwa kwake iliyofanyika katika hoteli ya Sea Cliff jijini Dar es Salaam jana.Kushoto ni Mkewe Mama Siti Mwinyi.

Rais Mstaafu awamu ya pili Mzee Ali Hassan Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na familia yake watoto na wajukuu zake wakati wa sherehe yake ya kuzaliwa ambapo alitimiza umri wa miaka 90 jana katika hoteli ya Sea Cliff jijini Dar es Salaa.

1 comment:

  1. Mzee Mwinyi umejaaliwa miaka sio kidogo na umeona mengi na kufanya mengi mema na mabaya kwani hakuna alokamilika isipokuwa Muumba pekee.
    Usiendelee kumuasi alokupa huwo umri mrefu kwa kufanya alotukataza.katika uislamu hakuna kushrehekea kuzaliwa na baya zaidi mazongira yenyewe hata hijjab hakuna kuanzia mama siti.Ujuwe kwamba wewendio muilizwa kwa maasi yoteyalofanyika hapo kwani wewe ndie uloandaa sihadha kuwa ulevi ulikuerpo pia..Tumuombe Allah atuongoze ktk kifanya mema yenye kimpendeza.
    Ammin

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.