Habari za Punde

Waziri Mkuu atupiwa suali la papo kwa papo kuhusu Masheikh wa Uamsho


Leo siku ya Alhamis ambapo Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda anajibu maswali papo kwa hapo. Tazama moja ya maswali anayohojiwa Bungeni.

1 comment:

  1. na nyie macuf hamna mpango wowote, nyote shirika moja pigeni kura ya kutokuwa na imani na rais kama kweli munataka watoke wale, na wawakilishi hivyo hivyo muone hapo ndio message ndo itafika, si unaona kumbe Pinda hata hajui kama wanafanyiwa unyama na pengine hajui hata kama wapo ndani mashekh.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.