Leo siku ya Alhamis ambapo Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda anajibu maswali papo kwa hapo. Tazama moja ya maswali anayohojiwa Bungeni.
WANANCHI DODOMA WAJITOKEZA KUFANYA USAFI SHULE YA MSINGI MLIMWA KUEPUKA
MAGONJWA YA MLIPUKO
-
Na. Dennis Gondwe, KIWANJA CHA NDEGE
WANANCHI wa Mtaa wa Osterbay, Kata ya Kiwanja cha Ndege Halmashauri ya Jiji
la Dodoma wamejitokeza kufanya usafi wa m...
5 hours ago
na nyie macuf hamna mpango wowote, nyote shirika moja pigeni kura ya kutokuwa na imani na rais kama kweli munataka watoke wale, na wawakilishi hivyo hivyo muone hapo ndio message ndo itafika, si unaona kumbe Pinda hata hajui kama wanafanyiwa unyama na pengine hajui hata kama wapo ndani mashekh.
ReplyDelete