Habari za Punde

Rais wa Zanzibar Dk Shein Afungua Maonesho ya Tamasha la Muziki Ujerumani.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba ya ufunguzi wa Maonesho ya Muziki  katika Mji wa Wurzburg Nchini Ujerumani jana ambayo hufanyika kila mwaka samba mba na utoaji wa Zawadi kwa mwaka 2015 pia kujumisha wanamuziki na wasanii mashuhuri kutoka nchi za Afrika na nchi mbali mbali Duniani.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba ya ufunguzi wa Maonesho ya Muziki  katika Mji wa Wurzburg Nchini Ujerumani jana ambayo hufanyika kila mwaka samba mba na utoaji wa Zawadi kwa mwaka 2015 pia kujumisha wanamuziki na wasanii mashuhuri kutoka nchi za Afrika na nchi mbali mbali Duniani.
Baadhi ya washiriki katika ufunguzi wa  Maonesho ya Muziki wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutua yake jana  katika viwanja vya maonesho ya muziki yanayofanyika katika Mji wa Wurzburg Nchini   Ujerumani sambamba na utoaji wa zawadi kwa mwaka 2015 akiwa katika ziara ya kikazi
Baadhi ya washiriki katika ufunguzi wa  Maonesho ya Muziki wakiangalia Kikundi cha Muziki cha Matona kutoka Zanzibar kikitoa burudani baada ya ufunguzi wa Maonesho ya Muziki yaliyoshirikisha wasanii na wanamuziki kutoka Nchi mbali mbali Afrika na nchi nyengine Duniani   yaliyofanyika jana katika Mji wa Wurzburg Nchini  Ujerumani 
Kikundi cha Matona kutoka Zanzibar kilipokuwa kikitoa burudani yake wakati wa Tamasha la Maonesho ya Muziki wa Kiafrika yanayojumisha wasanii na wanamuziki mbali mbali kutoka Afrika na Mabara mengine Duniani wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein alihudhuria akiwa mgeni rasmi katika ziara ya kikazi katika Mji wa Wurzburg Nchini Ujerumani
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akitunza wakati Kikundi cha Matona kutoka Zanzibar kilipotoa burudani wakati wa Ufunguzi wa maonesho ya  Muziki yanayofanyika jana katika Mji wa Wurzburg Nchini Ujerumani akijumuika na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika ziara ya kikazi pamoja na ujumbe wake, maonesho hayo yameshirikisha Nchi za Afrika na Mabara mengine Duniani
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein Mama Mwanamwema Shein (katikati) wakiwa na Waziri wa Habari,Utamaduni Utalii na Michezo Zanzibar Mhe.Said Ali Mbarouk (wa nne kushoto)na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee (wa pili kulia) na watayarishaji wa Maonesho ya Tamasha la Muziki katika Mji wa Wurzburg Nchini  Ujerumani lililofunguliwa jana.[Picha na Ramadhan Othman,]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.