Makamo wa pili wa Rais wa Zanzibar , Balozi Seif Ali Iddi, akisalimia na Wafanyakazi wa kiwanja cha Michezo cha Gombani pemba wakati alipofanya ziara katika kiwanja hicho kuangalia harakati za uwekaji wa Tatan.
Makamo wapili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif ALi Iddi, akipata maelezo juu ya zoezi la uwekajiwa Tatan Zinavoendelea kutoka kwa Ofisa Mdhamini Wizara ya Habari Utamaduni Utalii na Michezo Pemba , Ali Nassor Moh'd.huko Gombani Pemba.
Makamo wapili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Aili Iddi, akiangalia hali ya Uwanja wa Gombani Pemba.
Makamo wapili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi, akiangalia mpira huo wa Tatan baada ya kuchanganywa
Makamo wapili wa Rais akieleza matumani yake baada ya kuamlizika uwekaji wa Tatan katika Kiwanja cha Michezo cha Gombani Pemba.






No comments:
Post a Comment