Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha AFR Mhe Said Soud Said,akiwasili katika viwanja vya kampeni yake ya Uzinduzi kwa aina yake kwa kutumia usafiri wa gari ya daladala akishuka katika garihiyo tayari kwa uzinduzi wa kampeni yake katika viwanja vya Kiuyu Kigongoni, Wilaya Wete Pemba.
Mgombea Ubunge wa
jimbo la Kojani Bakari Hassan Hamad, akizungumza na wananchi wa kiuyu Kigongoni
jimbo la Kojani, wakati wa uzinduzi wa kampeni za chama cha AFP kisiwani Pemba.
Mgombea Uwakilishi Jimbo
la Kojani Kisiwani kupitia Chama cha AFP Mhe:Said Hamad Malik, akiwahutubia wananchi wa jimbo
la kojani huko katika uzinduzi wa kampeni za Chama cha AFP kisiwani Pemba
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia chama cha Wakulima Tanzania (AFP) Mhe:Said Soud Said, akizungumza na wananchi
mbali mbali kisiwani Pemba, wakati wa uzinduzi wa mkutano wa kampeni wa chama
hicho huko kiuyu kigongoni Kisiwani Pemba.
Wananchi kisiwani Pemba wakimsikiliza mgombea wa
Urais wa AFP, Mhe:Said Soud Saidi wakati alipokuwa akifungua mkitano wa Chama
chake huko Kiuyu Kigongoni Wilaya ya Wete Kisiwani Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
No comments:
Post a Comment