Habari za Punde

Rais wa Zanzibar Dk Shein, Amuapisha Naibu Katibu Mkuu Uwezeshaji,Ustawi wa Jamii Vijana Wanawake na Watoto Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Nd,Hassan Khatibu Hassan kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Uwezeshaji,Ustawi wa Jamii,Vijana,Wanawake na Watoto leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,kabla alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Wete Pemba
Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi waliohudhuria katika hafla ya kuapishwa kwa Naibu katibu Mkuu Wizara ya Uwezeshaji,Ustawi wa Jamii,Vijana,Wanawake na Watoto Nd,Hassan Khatib  Hassan leo  katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja, kabla alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Wete Pemba

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Nd,Hassan Khatibu Hassan baada ya kumuapisha kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Uwezeshaji,Ustawi wa Jamii,Vijana,Wanawake na Watoto leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,kabla alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Wete Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Katibu Mkuu Wizara ya Uwezeshaji,Ustawi wa Jamii,Vijana,Wanawake na Watoto Asha Abdalla baada ya kumalizika kwa hafla ya kuapishwa Nd,Hassan Khatibu Hassan kuwa Naibu  katibu wizara hiyo leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.