Habari za Punde

Makamu wa Rais Mhe Samia Mgeni Rasim Siku ya Utepe Mweupe Jijini Dar es Salaam Leo.

Matembezi yaliyoshirikisha wadau mbalimbali ya sekta ya Afya kwa ajili ya  maadhimisho ya siku ya Utepe Mweupe na uzinduzi wa kampeni ya vifo vya Mama vitokanavyo na uzazi yaliyofanyika leo March 16,2016 katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiangalia maonesho yaliyoshirikisha wadau wa Taasisi mbalimbali za sekta ya Afya kwenye maadhimisho ya siku ya Utepe Mweupe yaliyofanyika leo March 16,2016 katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiangalia maonesho yaliyoshirikisha wadau wa Taasisi mbalimbali za sekta ya Afya kwenye maadhimisho ya siku ya Utepe Mweupe yaliyofanyika leo March 16,2016 katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizindua mpango mkakati wa miaka mitano wa kampeni ya vifo vya Mama vitokanavyo na uzazi kwenye maadhimisho ya siku ya Utepe Mweupe yaliyofanyika leo March 16,2016 katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia kwenye maadhimisho ya siku ya Utepe Mweupe na uzinduzi wa kampeni ya vifo vya Mama vitokanavyo na uzazi, maadhimisho hayo yamefanyika leo March 16,2016 katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Mwendesha Mashitaka katika Mahakama ya Kimataifa Jaji Hassan Jallow wakati Jaji Jallow alipomtembelea Makamu wa Rais Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam leo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mwendesha Mashitaka kwenye Mahakama ya Kimataifa Jaji Hassan Jallow, wakati Jaji Jallow alipomtembelea Makamu wa Rais Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam leo March 16,2016 kwa ajili ya kumuaga baada ya kuishi Tanzania kwa muda mrefu (Picha na OMR)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.