TANZANIA YAING’ARA KIKANDA MASHINDANO YA UANDISHI WA INSHA ZA EAC NA SADC
-
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt.Hussein
Omar,akikabidhi vyeti mbalimbali kwa washindi wa Kitaifa wa Shindano la
Uandishi...
1 hour ago

Jamaniii eee eee masoko ya aina hii jamaani yapigwe marufuku, aibu, maradhi, uchafu. Leo Zanzibar kuna kipindindu, tunatafuta sababu, tumeziweya kusema kipindupindu kinatokana na maji, lakini sio kweli, ukweli ni kwamba kipindupindu Cha mara hii kimekuja dry season, source nini, mimi nahisi masoko ya aina hii kwa kiasi kikubwa yanachangia kukuletea maradhi mbali mbali, tujurekebusheni jamaani
ReplyDelete