Habari za Punde

Muonekano wa Mji wa Zanzibar Mitaa ya Darajani na Harakati zake.


1 comment:

  1. Jamaniii eee eee masoko ya aina hii jamaani yapigwe marufuku, aibu, maradhi, uchafu. Leo Zanzibar kuna kipindindu, tunatafuta sababu, tumeziweya kusema kipindupindu kinatokana na maji, lakini sio kweli, ukweli ni kwamba kipindupindu Cha mara hii kimekuja dry season, source nini, mimi nahisi masoko ya aina hii kwa kiasi kikubwa yanachangia kukuletea maradhi mbali mbali, tujurekebusheni jamaani

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.