Habari za Punde

Dk Shein Akutana na Balozi wa Tanzania nchini Marekani Ikulu leo

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Marekani Mhe,Wilson M.Masilingi alipofika Ikulu Mjini Zanzibar asubuhi ya leo,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na  Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Marekani Mhe,Wilson M.Masilingi alipofika Ikulu Mjini Zanzibar asubuhi ya leo,[Picha na Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.