Monday, May 23, 2016

Mke anapoaga anakwenda kibaruani...

Mara nyingi huwakuta karibu na msikiti wa Ijumaa Malindi hasa siku ya Ijumaa. 

Niliwahi kusikia stori moja siku moja kuna jamaa alikuwa akiagwa na mkewe anakwenda kibaruani sasa siku moja alipokuwa anakuja kusali Msikitini akamkuta mkewe ni miongoni mwa walioketi hapo chini akiomba wakati mume anajua mkewe yupo kibaruani....

Picha kwa hisani ya mdau.

No comments:
Write Maoni