Habari za Punde

Dk Shein, Akiwasili Uwanja wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Akitokea Nchini Comoro Kuhudhuria Sherehe za Kumuapisha Rais Mpya wa Comoro Jana.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akishuka katika Ndege akitokea Nchini Comoro kuhudhuria sherehe za kumuapisha Rais Mpya wa Muungano wa Visiwa vya Comoro. 
Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakiwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume wakimpokea Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi akitokea Nchini Comoro kuhudhuria sherehe za kumuapisha Rais Mpya wa Muungano wa Visiwa vya Comoro.
Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wakati akiwasili Zanzibar akitokea Visiwa vya Comoro. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe Ayuob Mohammed Mahmuod, alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akitokea Nchini Comoro kuhudhuria sherehe za kuapishwa Rais wa Comoro.  


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, wakati akiwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.  
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar waliofika kumpokea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Wazee wa CCM waliofika kumpokea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.