Habari za Punde

Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar Chatoa Elimu ya Haki ya Mtoto Kisiwani Pemba.

Mratibu wa Kituo cha Huduma za Sheria Pemba, Fatma Hemed Khamis,akifunguwa mafunzo juu haki za mtoto kwa watoto kutoka maeneo mbali mbali ya Kisiwa cha Pemba,katika harakati za kuadhimisha siku ya mtoto

wa Kiafrika, huko katika ukumbi wa nasari madungu.

Watoto kutoka maeneo mbali mbali ya Kisiwa cha Pemba, wakisikiliza kwa makini hutuba ya Mratibu wa Kituo cha huduma za Sheria Pemba,huko katika ukumbi wa nasari Madungu Kisiwani humo
Watoto kutoka maeneo mbali mbali ya Kisiwa cha Pemba, wakisikiliza kwa makini hutuba ya Mratibu wa Kituo cha huduma za Sheria Pemba,huko katika ukumbi wa nasari Madungu Kisiwani humo. Afisa Mipango kutoka Kituo cha Huduma za Sheria Pemba, Bisiti Habib Moh'd, akiwasilisha mada juu ya haki za Mtoto huko katika Nasari ya Madungu Chake Chake  Pemba.
Afisa Mipango wa Kituo cha Huduma za Sheria Pemba, Bi.Safia Saleh Sultan, akiwasilisha mada juu ya haki za mtoto , kwa wanafunzi mbali mbali kutoka Kisiwani Pemba, huko katika ukumbi wa Nasari ya Madungu Chake Chake Pemba.
Mwenyekiti wa Baraza la Watoto Shehia ya Ole, akito wa mchango wake katika mafunzo ya haki za mtoto huko Nasari ya Madungu Chake Chake Pemba.
Mratibu wa Kituo cha Huduma za Sheria Pemba, Fatma Hemed Khamis, akimuuliza masuali mmoja wa watoto walioshiriki mafunzo ya haki za mtoto huko Madungu Nasari Pemba.(Picha na  Habiba Zarali -Pemba.)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.