MATANGAZO MADOGO MADOGO

Wednesday, August 31, 2016

Zoezi la Ubomowaji wa Makontena Darajani limeanza leo Usiku Baada ya Muda wa Kubomoa kufikia leo Ili Kupisha Ujenzi wa Maduka ya Kisasa

Wafanyabiashara katika Makontena ya Darajani wameafa kubomoa madaka yao baada ya kufika muda waliopewa mwisho mwa mwizi huu zoezi hilo limeaza usiku huu kubomoa na kuchukua vifaa vya vya ujenzi makontena hayo ni baadhi ya eneo hilo la darajani linalotaka kujengwa Maduka ya Kisasa