Habari za Punde

Kikosi cha Timu ya Ujamaa Club Ikiwa katika Makazi yake Rahaleo Ikijiandaa kuelekea Katika Mchezo wao wa Ufunguzi Ligi Daraja la KwanzaJopo la Uongozi wa Klabu ya Ujamaa likiweka mikakati na Kocha wao Mkuu jinsi ya kuaza mchezo wao wa ufunguzi wa Ligi Daraja la Kwanza unaotarajiwa kufanyika jioni hii huko uwanja wa Maungani.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.