Watu wenye Ulemavu wakiwa na mabango katika maandamano ya maadhimisho ya siku ya Watu wenye ulemavu Duniani yaliofanyika huko Micheweni Pemba.
Waziri wanchi Ofisi ya Makamo wa pili wa Rais Moh'd Aboud Moh'd, akipokea maandamano ya watu wenye Ulemavu katika maadhimisho ya siku ya Waleamvu Duniani yaliofanyika huko Micheweni Pemba kwa Zanzibar.
Watu wenye Ulemavu wakiwa na mabango katika maandamano ya maadhimisho ya siku ya Watu wenye ulemavu Duniani yaliofanyika huko Micheweni Pemba.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa pili wa Rais Wa Zanzibar, Moh'd Aboud Moh'd, akihutubiwa Wananchi mbali mbali na Watu wenye Ulemavu katika madhimisho ya siku ya watu wenye Ulemavu kitaifa iliofanyika huko
Micheweni Pemba. Picha na Habiba Zarali, Pemba
No comments:
Post a Comment