Habari za Punde

Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Azindua Mashindano ya Resi za Ngalawa Bungi. Wilaya ya Kati Unguja.

Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe.Simai Mohamed Said akizungumza kabla ya kuaza kwa mashindano hayo ya resi za ngalawa yaliofanyika jimboni kwake na kushirikisha ngalawa 15.zilizofanyika huko Bungi mkoa wa Kusini Unguja mwishoni mwa wiki.
Mhe.Simai Mohamed Said, Mwakilishi wa Tunguu zanzibar akizungumza kwenye mashindano ya resi za ngarawa huko Bungi mkoa wa Kusini Unguja.
 Mwakilishi wa Tunguu Zanzibar, Simai Mohamed Said (katikati) akipiga kasia kuanza safari kutembelea visiwa vidogo kwenye jimbo lake juzi.
Jumla ya ngarawa 15 zikishiriki mashindano hayo ya resi za ngala zikianza mashindano ya hayo katika ufukwe wa pwani ya Bungi Mkoa wa Kusini Unguja.
Resi hizo zilidhaminiwa na Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu,Mhe.Simai Mohamed Said ambaye alikabidhi zawadi kwa washindi watatu wa mwanzo.
Picha zote na Martin Kabemba


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.