Habari za Punde

Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar akagua shughuli zinazofanywa na wawakilishi majimboni mwao

 NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Mhe:Abdalla Juma Mbodi, akizungumza na mwakilishi wa Jimbo la Ole, Mhe:Mussa Ali Mussa mara baada ya kumaliza kazi ya kukaguwa Tawi la CCM la Ole, katika ziara yake ya

kuangalia shughuli zinazofanywa na wawakilishi majimboni mwao.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

 SHAMBA la Migomba la wanaushirika wa Vikunguni Wilaya ya Chake Chake,lenye urefu wa Ekari 3 lililochini ya Usimamizi wa Mwakilishi wa jimbo la Ole.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 MWAKILISHI wa Jimbo la Ole Mhe:Mussa Ali Mussa, akimuonyesha mipaka ya shaba la Migomba la Vijana wa Vikunguni Wilaya ya Chake Chake Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Mhe:Abdalla Juma Mabodi, akizungumza na wananchi wa Vikunguni Wilaya ya Chake Chake Pemba, mara baada ya kutembelea shaba la wakulima hao.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Mhe:Abdalla Juma Mabodi, akiangalia utokaji wa maji katika moja ya mifereji iliyomo katika shamba la Migomba la Vijana wa Vikunguni Kisiwani Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Mhe:Abdalla Juma Mabodi, akikagua shamba la Migomba lenye ukubwa wa ekari 3, lililoko Vikunguni Wilaya ya Chake Chake Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 MSEMAJI wa Kikundi cha Vijana wa Vikunguni Wilaya ya Chake Chake, Azaaa Januari Joseph  akitoa maelezo kwa Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Mhe:Abdalla Juma Mabodi wakati alipotembelea shamba hilo.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Mhe:Abdalla Juma Mabodi, akipanda mti wa Mgomba katika shamba la Vijana wa Vikunguni Wilaya ya Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.