Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,Aelekea Ziarani Nchini Djibout.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, ameondoka Nchini Zanzibar kuelekea Nchini Djibout kwa ziara ya siku tatu ya Kiserekali Nchini humo. Akiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akiteta jambo na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wakati alipofika kumuaga jioni hii kuaza ziara yake.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiagana na Wazee wa CCM wakati wa kuondoka Zanzibar kuelekea Nchini Djibout kwa ziara ya siku tatu ya kiserikali nchini humo.
Rais wa Zanzibar Dk Shein akiagana na Wazee wa Chama na Viongozi wa Serikali Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Zanzibar akielekea Nchini Djibout kwa ziara ya kiserikali ya siku tatu.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwa na Mkewe Mama Mwanamwema Shein, akiagana na Viongozi wa Serikali na Chama Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akielekea Nchini Djibout kwa ziara ya kiserikali. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiangana na mawaziri wa SMZ uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar wakati akielekea Nchini Djibout kwa Ziara ya kiserikali Nchini humo kwa muda wa siku tatu.

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akiagana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar leo jioni. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiagana na Viongozi wa Vikosi Vya Ulinzi na Usalama Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiagana na Viongozi wa Vikosi Vya Ulinzi na Usalama Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi kabla ya kuaza safari yake Nchini Djibout kwa ziara ya kikazi, Wakiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.