Habari za Punde

Mafunzo ya siku tatu ya kilimo cha mbogamboga na matunda Wilaya ya Micheweni

 Mkurugenzi wa Idara ya Elimu, Maandalizi na Msingi Zanzibar Bi Safia Ali Rijali akizindua rasmi mafunzo ya siku tatu ya kilimo  cha mbogamboga na matunda yaliyoanza Jumatatu tarehe 17/07/2017 Skuli ya Makangale Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba.
 Bw. Omar Abubakar akielezea changamoto mbalimbali zinazoweza kujiokeza kaika kilimo cha kibiashara cha mbogamboga na matunda na jinsi ya kukabiliana nazo.
 Bw. Omar Abubakar akionesha kwa vitendo jinsi ya kuatika mbegu  kitaalamu kwa matarajio ya matokeo bora.
 Bw. Omar Abubakar akionesha kwa vitendo jinsi ya kupima masafa yatakayotumika kuandaa matuta ambayo yataunganishwa na mipira maalumu ya umwagiliaji kwa njia ya matone.
Wanafunzi wa Skuli za Makangale, Mgogoni na Mkia wa Ng’ombe wakiwa katika harakati za kuandaa matuta.

Picha zote na Ali Othman

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.