Habari za Punde

Makamu wa Rais Mama Samia Atowa Heshima za Mwisho Kuuaga Mwili wa Marehemu Kewe Waziri Mwakyembe Dar.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimpa mkono wa pole Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe wakati wa ibada maalum ya kuaga mwili wa mke wake marehemu Linah George Mwakyembe kwenye kanisa la KKT Kunduchi

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu Linah George Mwakyembe mke Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe   katika kanisa la KKT Kunduchi jijini Dar es salaam​

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.