Dr, Ali Said Yuusuf Mhadhiri wa Chuo cha Afya, Sayansi na Tiba SUZA akitowa maelezo kwa wananchi na wanafunzi wa Skuli za Sekondari waliohudhuria maonesho hayo na kujiunga na masomo kwa muhula ujao wa masomo SUZA. Maonesho hayo yamefanyika katika ukumbi wa Chuo cha SUZA Majestiki Zanzibar.
Mwalimu wa SUZA Suleiman Juma akitowa maelezo ya masomo yanayotolewa na SUZA wakati wa maonesho ya kimasomo yanayotolewa na chuo hicho.
No comments:
Post a Comment