Habari za Punde

DK.SHEIN KUKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA SHIRIKA LA CHAKULA NA KILIMO LA UMOJA WA MATAIFA (FAO).

Rais wa Zanzibar na Mweyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia)  akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) Dkt.Jose Graziano da Silva alipofika Ikulu Mjini Unguja leo
Rais wa Zanzibar na Mweyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na mgeni wake Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) Dkt.Jose Graziano da Silva alipofika Ikulu Mjini Unguja leo
Rais wa Zanzibar na Mweyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia)  akifuatana  na mgeni wake Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO).Dkt.Jose Graziano da Silva baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika leo alipofika Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 07/09/2017.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.