Habari za Punde

Maandalizi ya Mbio za Marathon KMKM 10 KM Yakamilika na Kutimua Vumbi Octoba 29 Zanzibar.a

CDR Hussein Mohammed Seif akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na mbio za Marathoni zinazotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi wa Oktoba 29, Zanzibar na kuzia mbio hizo katika eneo la Kambi ya KMKM Kibweni Zanzibar na kumalizikia katika viwanja vya maisara. Mbio hizo zitawashirikisha wakimbiaji kutoka Zanzibar Tanzania Bara na Kenya tayari wamethibitisha kushiriki mbio hizo za Marathoni.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.