Habari za Punde

Mchezo wa Ligi Kuu Kanda ya Unguja Netiboli Kati ya Duma na KVZ Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Gymkhana Timu ya KVZ Imeshinda Kwa Mabao 47-26.

Mchezaji wa Timu ya KVZ Khadija Mohammed (GA) akiwa na mpira akitafuta wa kumpasia wakati wa mchezo wao wa Ligi ya Netiboli Kanda ya Ungaja huku mchezaji wa Timu ya Duma Salome Martin akijiandaa kumzuiya. Timu ya KVZ imeshinda kwa mabao 47 -26. mchezo uliofanyika uwanja wa Gymkhana Zanzibar.
Wachezaji wa Timu ya Duma na KVZ wakiwania mpira wakati wa mchezo wao uliofanyika katika uwanja wa gymkhna Zanzibar Timu ya KVZ imeshinda kwa mabao 47 - 26.
Wapenzi wa mchezo wa mpira wa netiboli Zanzibar wakifuatilia michezo hiyo ya Ligi Kuu Kanda ya Unguja katika viwanja vya gymkhana Zanzibar.
Mchezaji wa Timu ya KVZ Khadija Mohammed akijiandaa kudaka mpira huku mchezaji wa Timu ya Duma akiwa tayari kumzuiya wakati wa mchezo huo uliofanyika uwanja wa gymkhana Zanzibar Timu ya KVZ imeshinda kwa mabao 47 - 26.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.