Habari za Punde

Taasisi ya Milele Zanzibar Foundation Yazindua Ripoti Yake ya Miaka Mitatu na Kuzindua Mpango Wake wa Milele 2020,


Mkurugenzi Mkuu wa Milele Zanzibar Foundation Yousuf L.Caires akizungumza wakati wa hafla hiyo ya uzinduzi wa Milele 2020 na kuwasilisha Ripoti ya miezi mitatu ya utendaji wa Taasisi hiyo inayoyojishughulisha na kutoa misaada katika sekta ya Elimu Afya na Jamii katika Zanzibar.hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Zanzibar..
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Ungujac Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud akizungumza wakati wa hafla hiyo katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi kikwajuni Zanzibar.

Mkurugenzi Mkuu wa Milele Zanzibar Foundation Yusouf L Caires akimkabidhi zawadi Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Dk Khalid Mohammed Salum wakati wa hafla hiyo. 
Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe Dk Khalid Mohammed Salum akihutubia na kuzungumza wakati wa uzinduzi wa mpango wa Milele 2020 na kuwasilisha ripoti ya utendaji wa taasisi hiyo Zanzibar katika shughuli za kijamii.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.