Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dkt Ali Mohamed Shein Ajumuika na Wananchi wa Zanzibar Katika Maulidi ya Kuzaliwa Kwa Mtume Muhammad S.A.W Katika Viwanja Vya Maisara Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Alhajj Ali Mohamed Shein, akisalimia na Mmwenyekiti wa Kamati ya Maulid ya Mfungo Sita Zanzibar Mshauri Mkuu Sheikh Shirali Champsi alipowasili katika viwanja vya  maisara Zanzibar kuhudhuria hafla ya Maulid ya Kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W) na kujumuika na Wananchi wa Zanzibar kuadhimisha Siku hiyo Tukufu.
Makamu wa  Rais Mstaaf  Dkt Mohammed Gharibi Bilal akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mohmoud alipowasili katika viwanja vya maisara kuhuhudhuria sherehe za Maulid ya Kuzaliwa Mtume Muhammad SAW, yaliofanyika Kitaifa katika viwanja vya maisara
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Alhajj Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Makamu wa Rais Mstaaf Dkt. Mohammed Gharib Bilal alipowasili katika viwanja vya maisara kuhudhuria Maulid ya Kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W) kitaifa yamefanyika Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Alhajj Ali Mohamed Shein, akiwa na Viongozi mbalimbali wa Dini na Serikali wakiwa wamesimama baada ya kuwasili katika viwanja hivyo na kusomwa Qaswida ya kumkaribisha. 
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akiwa na Viongozi mbalimbali wakisimama wakati wa kutoa salamu ya kumkaribisha Mgeni Rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Alhajj Ali Mohamed Shein alipowasili katika viwanja hivyo kuhudhuria Maulid ya Kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W)
Wanafunzi wa Madrasatul E’itiswam ya Chukwani Zanzibar wakisoma Qwasid ya Salamu ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Alhajj Ali Mohamed Shein, katika viwanja vya maisra Zanzibar
Kadhi Mkuu wa Zanibar Sheikh Khamis Haji akitowa maelezo kabla ya kuaza kwa hafla ya Maulid ya kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliofanyika katika viwanja vya maisara Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Alhajj Ali Mohamed Shein, akisoma ratiba ya hafla ya Maulid ya kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliofanyika katika viwanja vya maisara kushoto Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi na kulia Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khamis Haji
Baadhi ya waalikwa katika hafla ya Maulid ya kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W) wakifuatilia hafla hiyo katika viwanja vya maisara Zanzibar
Baadhi ya Waumini wa Dini ya  Kiislam Zanzibar wakihudhuria katika Maulid ya kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W) katika viwanja vya maisara Zanzibar
Ustadh Hamadan Juma Hamdan kutoka magogoni Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja akisoma Quran surah Fat-h aya ya 4 hadi ya 10, kabla ya kuaza kwa hafla hiyo.
Waumini Dini ya Kiislam Zanzibar wakihudhuria kuadhimisha sherehe Tufuku ya kuzaliwa kwa Mtume Muhamaad (S.A.W) katika viwanja vya maisara Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Alhajj Ali Mohamed Shein, akijumuika katika sherehe tukufu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) akijumuika na Waumini wa Dini ya Kiislam Zanzibar kuadhimisha siku hiyo katika viwanja vya maisara Zanzibar
Wanafunzi wa Madrasatul Insania kutoka roundabout magogoni Mkoa wa Mjini Unguja wakisoma Qaswida ya Rabbi Swalli wakati wa hafla hiyo ya Maulid ya kuzaliwa kwa Mtume yaliofanyika katika viwanja vya maisara Zanzibar
Ustadh Juma Fakhi Omar kutoka Amaan Mkoa wa Mjini Unguja akisoma mlango wa  kwanza wa Maulid ya kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliofanyika Kitaifa katika viwanja vya Maisara Zanzibar
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akijumuika na Wananchi na Viongozi wa Serikali katika hafla ya Maulid ya Kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliofanyika katika viwanja vya Maisara Zanzibar
Viongozi wa Serikali na Dini Zanzibar wakihudhuria Maulid ya Kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliofanyika katika viwanja vya maisara wakiwa wamesimama wakati Qiyam Taala( kumsalia Mtume). Qaswida hiyo ikisomwa na Madrasatul Qamaria ya kibanda hatari Zanzibar
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akiwa na Viongozi wa Serikali na Wananchi wakiwa wamesimama wakati wakimsalia Mtume ( Qiyam Taala)  wakati wa hafla hiyo ya Maulid ya Kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliofanyika katika viwanja vya Maisara Zanzibar
Wanafunzi wa Madrasatul Qamaria ya Kibanda Maiti Unguja wakiwa wamesemama wakisoma Qaswida ya Qiyam Taala wakati wa hafla hiyo ya Maulid ya Kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W) katika viwanja vya maisara Zanzibar
Wanafunzi wa Madrasatul Qamaria ya Kibanda Maiti Unguja wakiwa wamesemama wakisoma Qaswida ya Qiyam Taala kumsalia Mtume wakati wa hafla hiyo ya Maulid ya Kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W) katika viwanja vya maisara Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Alhajj Ali Mohamed Shein, akiwa amesimama kumsalia Mtume (Qiyam Taala) na viongozi wa jukwaa kuu katika hafla ya kuadhimisha sherehe ya Maulid ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliofanyika Kitaifa katika viwanja vya maisara Zanzibar
Waumini wa Dini ya Kiislam Zanzibar wakiwa wamesimama Qiyam Taala wakati wa hafla hiyo ya Maulid ya kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliofanyika katika viwanja vya maisara Zanzibar kitaifa
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akiwa na Viongozi wa Serikali na Wananchi wakiwa wamesimama Qiyam Taala wakati wa hafla ya Maulidi ya kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliofanyika katika viwanja vya Maisara Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Alhajj Ali Mohamed Shein, akikabidhiwa CD ya Qaswida ya Mwaka wa Kiislam 1439 –Al Hijra na Mwenyekiti wa Kamati ya Maulid ya Mfungo Sita Sheikh Sherali Champsi, wakati wa hafla ya Maulid ya Kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliofanyika Kitaifa Zanzibar katika viwanja vya Maisara
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Alhajj Ali Mohamed Shein, akikabidhiwa CD ya Qaswida ya Mwaka wa Kiislam 1439 –Al Hijra na Mwenyekiti wa Kamati ya Maulid ya Mfungo Sita Sheikh Sherali Champsi, wakati wa hafla ya Maulid ya Kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliofanyika Kitaifa Zanzibar katika viwanja vya Maisara
Sheikh.Mohammed Kassim kutoka Kamisheni ya Wakfu Zanzibar akisoma hutba ya Kiswahili wakati wa hafla ya sherehe za kuadhimisha kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) maulid yaliofanyika katika viwanja vya maisara Zanzibar

Wanafunzi kutoka Mtendeni Unguja wakisoma Maulid ya Homu wakati wa hafla hiyo ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliofanyika Kitaifa katika viwanja vya Maisara Zanzibar
Wanafunzi kutoka Madrasatul Mina ya Jambiani Unguja Wilaya ya Kusini wakisoma Qaswida katika hafla hiyo ya Maulid ya Mfungo Sita yaliofanyika katika viwanja vya maisara Zanzibar
Wanafunzi kutoka Madrasatul Sanaa Munta Kalam ya Ukongongoroni Wilaya ya Kusini Unguja wakisoma Qaswida wakati wa hafla hiyo ya Maulid ya Mfungo Sita ya Kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliofanyika katika viwanja vya maisara Zanzibar
Ustadh Nassor Seif Rashid kutoka Mkoa wa Mjini Unguja akisoma maulid mlango wa Tano   katika hafla hiyo ya Maulid ya kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliofanyika katika viwanja vya maisara Zanzibar
Wanafunzi mchanganyiko kutoka Madrasatu Ihsan Islamia Pemba na Madrasatul Taqwa Lillah Islamia Gomani Tumbatu Unguja wakisoma Qaswida ya Mwaka wa kiislam 1439 Al Hijra wakati wa hafla hiyo ya Maulid ya Kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliofanyika katika viwanja vya maisara Zanzibar
Sheikh Waziri Hassan Choum akisoma dua ya Barzanji wakati wa hafla hiyo ya mauled ya kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliofanyika Kitaifa Zanzibar katika viwanja vya Maisara na kuhudhuriwa na Waumin wengi wa Kiislam wa Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Alhajj Ali Mohamed Shein, na viongozi wengine wa Serikali na Dini wakiitikia dua iliokuwa ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi baada ya kumalizika hafla hiyo ya Maulidi ya Mfungo Sita katika viwanja vya Maisara Zanzibar
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, na viongozi wengine wa Serikali na Dini wakiitikia dua iliokuwa ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi baada ya kumalizika hafla hiyo ya Maulidi ya Mfungo Sita katika viwanja vya Maisara Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Alhajj Ali Mohamed Shein, akiagana na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid baada ya kumalizika hafla hiyo ya Maulid ya Kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliofanyika Kitaifa Zanzibar katika viwanja vya Maisara
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Alhajj Ali Mohamed Shein, akiagana na kusalimiana na Kamishna Mstaaf wa Polisi Zanzibar Mzee Halid, Iddi.  baada ya kumalizika hafla hiyo ya Maulid ya Kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliofanyika Kitaifa Zanzibar katika viwanja vya Maisara
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Al Hajj Ali Mohamed Shein, akiagana na kusalimiana na Sheikh Ali Yani, baada ya kumalizika hafla hiyo ya Maulid ya Kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliofanyika Kitaifa Zanzibar katika viwanja vya Maisara
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Alhajj Ali Mohamed Shein, akiagana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud,  baada ya kumalizika hafla hiyo ya Maulid ya Kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliofanyika Kitaifa Zanzibar katika viwanja vya Maisara

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.