AFISA mdhamini Wizara
ya Fedha na Mipango Pemba, Ibrahim Saleh Juma akizungumza katika kikao cha
wakaguzi wa ndani wa taasisi mbali mbali za Serikali Kisiwani Pemba, wakati wa
mafunzo ya wiki moja yaliyofanyika mjini Chake Chake
MKAGUZI mkuu wa
hesabu za Serikali Rashid Mohamed Kassim katikati, akizungumza na wakaguzi wa
ndani wa taasisi mbali mbali za Serikali, wakati wa mafunzo ya wiki moja
yaliyofanyika mjini Chake Chake
MKUFUNZI wa masuala
ya uandikaji wa ripoti kwa wakaguzi wa ndani kutoka taasisi za Serikali
Kisipiwani Pemba, Habibu Ussi Hamad akifuatilia kazi za vikundi kwa wakaguzi
hao, wakati wa mafunzo ya wiki moja yaliyofanyika mjini Chake Chake
WAKAGUZI wa ndani wa
taasisi za Serikali Kisiwani Pemba, wakiwa katika kazi za vikundi, wakati wa
mafunzo ya wiki moja yaliyofanyika mjini Chake Chake
WAKAGUZI wa ndani
kutoka taasisi mbali mbali za Serikali Pemba, wakimsikiliza kwa makini Makaguzi
mkuu wa Serikali, Rashid Mohamed Kassim, wakati akifunga mafunzo ya wiki moja
kwa wakaguzi yaliyofanyika mjini Chake Chake
No comments:
Post a Comment