Habari za Punde

Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwenyekiti wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Prof Mark J.Mwandosya wakati  alipofika kuzindua Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mzee Abeid Karume lililofanyika leo katika Ukumbi wa Kampasi ya Chuo Bububu Wilaya ya Magharibi "A" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,[Picha na Ikulu] 05/04/2018.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali alipowasili katika viwanja vya  Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere  alipofika kuzindua Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mzee Abeid Karume lililofanyika leo katika Ukumbi wa Kampasi ya Chuo Bububu Wilaya ya Magharibi "A" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,[Picha na Ikulu] 05/04/2018.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwapungia mkono waalikwa alipofika kuzindua Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mzee Abeid Karume lililofanyika leo katika Ukumbi wa Kampasi ya Chuo 
cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere  
 Bububu Wilaya ya Mmagharibi "A" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,(kushoto) Mkuu wa Mkoa Mjini Mahgaribi Mhe,Ayoub Mohamed Mahmoud,[Picha na Ikulu] 05/04/2018.
  

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati)  Mwenyekiti wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Prof Mark J.Mwandosya(wa pili kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais Mhe,Mohamed Aboud Mohammed (wa pili kulia)  Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe,Ayoub Mohamed Mahmoud (kulia) na Mkuu wa   Zanzibar,wakisimama wakati  wa  uzinduzi wa   
Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mzee Abeid Karume lililofanyika leo katika Ukumbi wa Kampasi ya Chuo 
cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere  
Bububu
 [Picha na Ikulu] 05/04/2018.


Viongozi walioshiriki katika Uzinduzi wa  
Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mzee Abeid Karume lililofanyika leo katika Ukumbi wa Kampasi ya Chuo 
cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere  
Bububu
 
[Picha na Ikulu] 05/04/2018.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.