Habari za Punde

Madaktari kutoka Misri wamuaga Waziri wa Afya baada ya kumaliza muda wao wa kazi nchini

 WAZIRI wa Afya Zanzibar Hamad Rashid Mohamed akizungumza na Madaktari Bingwa kutoka Nchi za Kiarabu baada ya kufika ofisini kwake Mnazimmoja kwaajili ya kuagwa baada ya kumaliza muda wa kufanya kazi Nchini.
 MENEJA  kutoka MSA Ibrahim Gamaan Girmp akiutambulisha ujumbe wa Madaktari waliofika ofisi kwa Waziri wa Afya Zanzibar kwaajili ya kuagwa baada ya kumaliza muda wao wa kufanya kazi Nchini.
 MENEJA  kutoka MSA Ibrahim Gamaan Girmp akimkabidhi zawadi Waziri wa  Afya Zanzibar Hamad Rashid Mohammed kushoto alievaa fulana nyeusi ni Prof Abdulwahab Al Jubab  kutoka King Fahad Medical City walipofika afisini kwake kwaajili ya kuagwa baada ya kumaliza muda wa kufanya kazi Nchini.

WAZIRI wa Afya Zanzibar Hamad Rashid Muhamed akipiga picha ya pamoja na Madaktari Bingwa kutoka Nchi za Kiarabu.(Picha na Abdalla Omar Maelezo Zanzibar).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.