Habari za Punde

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bara Zanzibar Ajibu Hoja za Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Walizochangia.

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suluiman akijibu hoja za michango ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakati walipokuwa wakichangia Hutuba ya Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2018/2019
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakifuatilia Majibu ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bora Zanzibar na Waziri husika Mhe. Haroun Ali Suleiman wakati wa Mkutano wa Kumi wa Baraza la Tisa la Wawakilishi Zanzibar,kabla ya kupitisha Vifungu vya matumizi.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.