Habari za Punde

Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba atembelea Bonde la Jibwa, Kengeja


ZAO la Sun Flower likiwa limeshamiri kwa wingi katika shamba darasa la wanakaya masikini shehia ya mjini ole Wilaya ya Chake Chake Mkoa wa kusini Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)  

MKUU wa Mkoa wa Kusini Pemba Hemed Suleiman Abdalla, akijadiliana jambo na Afisa Mdhamini Ofisi ya Makamu wa Pili Pemba, Ali Salim Ali Mata baada ya kurudi kutembelea tuta lililojengwa na kaya masikini kuzuwia maji chumvi katika bonde la Jibwa shehia ya Kengeja Wilaya ya Mkoani .(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.