Habari za Punde

Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania UWT Taifa Mhe. Gaudincia Kabaka Atembelea Baraza la Wawakilishi Zanzibar na Kujitambulisha na Kuzungumza na Naibu Spika Mhe Mgeni Hassan Juma. Mwenyekiti wa Umoja wa Wawakelishi Wanawake Zanzibar.(UWAWAZA)

Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar na Mwenyekiti wa Umoja wa Wawakilishi Wanawake Zanzibar (UWAWAZA) MhE.Mgeni Hassan Juma akisalimiana na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mhe. Gaudencia Kabaka alipofika katika majengo la Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar kujitambulisha na kufanya mazungumzo na Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar.
Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar na Mwenyekiti wa Umoja wa Wawakilishi Wanawake Zanzibar, Mhe. Mgeni Hassan Juma akizungumza na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania Mhe. Gaudencia Kabaka alipofika katika majengo ya Baraza la Wawakilishi kujitambulisha na kujionea shughuli za Mikutano ya Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.