Habari za Punde

Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Mhe,Sira Ubwa Awasilisha Hutuba ya Bajeti ya Fedha ya Matumizi na Mapato ya Wizara Yake kwa Mwaka wa Fedha 2018/2019.

 Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid akiingia katika ukumbi wa Mkutano wa Kumi wa Baraza la Tisa la Wawakilishi Chukwani leo asubuhi kwa kuaza kwa mkutano huo kwa maswali na majibu na kusomwa kwa Bajeti ya Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar.
 Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Mhe. Dkt Sira Ubwa akisoma Hutuba ya Bajeti ya Matumizi na Mapato ya mwaka wa Fedha wa 2018/2019 kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kwa ajili ya kuichangia.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.