Habari za Punde

Mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar Nane Bora Kati ya Timu ya Mafunzo na Zimamoto Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Timu ya Zimamoto Imeshinda Mchezo Huo Kwa Bao 2-1 Uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.

 Beki wa Timu ya Mafunzo akikimbilia mpira huku mshambuliaji wa Timu ya Zimamoto akiwa nyuma akifuatilia mpira huo wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar Nane Bora mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Zimamoto imeshinda Mchezo huo kwa bao 2-1.
Mchezaji wa Timu ya Mafunzo na Zimamoto wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar mchezo yuliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Zimamoto imeshinda mchezo huo kwa bao 2-1.

Mchezaji wa Timu ya Mafunzo akimpita Beki wa Timu ya Zimamoto wakati wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar Nane Bora mchezo uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar. Timu ya Zimamoto imeshida bao 2 -1.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.