Habari za Punde

Rais Dk Shein akutana na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara maalum za SMZ

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa  na Idara maalum za SMZ katika  uliofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 03/07/2018. 
  Katibu  Mkuu Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa  na Idara maalum za SMZ  Ndg,Radhia Rashid Haroub alipokuwa akiwasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango kazi kwa mwaka wa Fedha Julai-Juni 2017/2018 kwa   Idara maalum za SMZ   katika  mkutano   uliofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) akiwepo na Mshauri wa Rais Ushirikiano wa Kimataifa na Uchumi Mhe. Mohamed Ramia Abdiwawa ,[Picha na Ikulu.] 03/07/2018.  

 Baadhi ya Maafisa wa  Vikosi wa SMZ wakifuatilia kwa makini wakati wa uwasilishwaji wa  Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango kazi kwa mwaka wa Fedha Julai-Juni 2017/2018 kwa   Idara maalum za SMZ   katika  mkutano  uliofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar  na  Katibu  Mkuu Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa  na Idara maalum za SMZ  Ndg,Radhia Rashid Haroub (hayupo pichani),[Picha na Ikulu.] 03/07/2018.
  Makamanda  na Maafisa wa Vikosi wa SMZ wakifuatilia kwa makini wakati wa uwasilishwaji wa  Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango kazi kwa mwaka wa Fedha Julai-Juni 2017/2018 kwa   Idara maalum za SMZ   katika  mkutano  uliofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar  na  Katibu  Mkuu Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa  na Idara maalum za SMZ  Ndg,Radhia Rashid Haroub (hayupo pichani),[Picha na Ikulu.] 03/07/2018.
Uongozi wa Wakuu wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa  na Idara maalum za SMZ wakiwa katika  mkutano wa Utekelezaji wa Mpango kazi kwa mwaka wa Fedha Julai-Juni 2017/2018 kwa  Idara maalum za SMZ   uliofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) ,[Picha na Ikulu.] 03/07/2018.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.