Habari za Punde

Mbuyu wa Historia Katika Mtaa wa Mkunazini Mji Mkongwe Zanzibar.

Mmoja wa Miti ya Historia Katika Kisiwa cha Zanzibar katika maeneo ya Mji Mkongwe ni Mbuyu huu ulioko katikati ya Mitaa ya Mji Mkongwe katika maeneo ya mitaa ya mkunazini ukiwa katika hali yake ya kunawiri na kuendelea kutoa matunda yake ya mabuyu kama yanavyoonekana pichani yakiwa mtini.

Eneo hilo kwa sasa linajulikana kwa maarufu ya mgahawa wa lukman hutowa huduma ya vyakula vya aina mbalimbali kwa wageni wanaotembelea Zanzibar hupata chakula kwa wakati wote wa asubuhi na jioni hupatikana vyakula vya aina mbalimbali vya Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.