Habari za Punde

Kijana Msanii wa Uchoraj wa Picha Katika Mitaa ya Zanzibar Akiwa Bizzi na Kazi Hiyo.

Usanii ni kipaji kwa Vijana kama anavyoonekana Kijana huyu akiwa bizi ya kuchora picha akiwa katika viwanja vya ngome kongwe akiwa akichura picha hiyo akiangalia katika simu yake. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.